.
Siku ya Ijumaa tarehe 31st Dec. zitaonyeshwa filamu mbili katika Runinga kubwa ambazo ni :
This is it –Waigizaji wake ni: Steven Kanumba, Hanifa Daudi, Othman Njaidi.
Filamu ya pili itakuwa ni:
Huba – Waigizaji: Ahmed Olutu (Mzee Chilo), Susan Lewis (Natasha) na Hashim Kambi (Ramsey).
.
Siku ya Jumamosi tarehe 1st Jan 2011:
Zitaonyeshwa filamu mbili ambazo ni:
Don’t Cry – Waigizaji : Haji Adam (Baba Haji), Rose Ndauka na Diana Nsumba.
.
Filamu ya pili itakuwa ni
Divorce–Waigizaji:Vincent Kigosi, salama Salmin
Siku ya Jumapili Tarehe 2nd Jan 2011:Siku hii itakuwa ni usiku wa washundi kutangazwa na kupewa tuzo ambapo utaambatana na burudani kutoka nyumba ya vipaji (THT) wasanii watakaotumbuiza ni Mwasiti, Marlaw, Mataluma, Amini, Barnabas, Ditto, Lina, na THT Band and Dancers.
Bei za tiketi ni: Tsh 5000/- kawida na Tsh 10,000/- kwa Wageni maonyesho haya yatafanyika katika ukumbi wa Ngome Kongwe kuanzia saa moja jioni hadi majogoo.
No comments:
Post a Comment