Thursday, January 6, 2011

New song from MWANA FA feat WYRE coming soon!

Hamis Mwinjuma msanii wa Bongo Flava anayejulikana kama MwanaFa yuko jijini Nairobi akimalizia Track yake aliyofanya na msanii kutoka nchini umo Wayre.  ngoma yake hiyo ambayo imefanywa na Hermy B na Wayre kuingiza Verse yake moja ambayo inatarajiwa kuwa na frava za kufa mtu. FA ameongeza kwamba video ya wimbo huo ambao hakupenda kuutaja jina inafanywa  jijini nairobi ingawa hakugusia ni kampuni gani ya video itafanya video hiyo.

No comments:

afrotanza gallery