Wednesday, January 12, 2011

NEW VIDEO FROM diamond! NITAREJEA.

Diamond akirekodi video yake mpya
URBAN PULSE CREATIVE Inapenda kuwataarifu wadau wote wa muziki kuwa Msanii wa mahiri wa kizazi kipya Diamond aka Mzee wa Mbagala anategemea kushusha video mpya ya wimbo unaoitwa NITAREJEA akimshirikisha HAWAA. Hi ni single yake ya pili kutoka kwenye Album yake kali Inayoitwa KAMWAMBIE ambayo inayozidi kutamba katika anga za musiki wa bongo fleva.
Video hii kali na kusisimua inategemewa kutoka mda sio mrefu ikiwa chini ya usimamizi wa Director Adam Juma kutoka Visual Lab baada ya kuzinduliwa rasmi muda si mrefu ujao. Stay Tuned!!!!!!!!!!!!!!
Asanteni
Diamond akishirikiana
URBAN PULSE CREATIVE
Producer Adam Juma akiwa kazini na
Diamond katika kurekodi video hiyo
Majonzi na hisia kali

Kilimo kwanza...

No comments:

afrotanza gallery